Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 12,722
habari motto
5 years ago
Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.
Idadi
hiyo inaweka watu waliofariki kutokana na virusi hivyo nchini humo
kufikia 12,722 kulingana na data za chuo kikuu cha Johns Hopkins.
Marekani ina wagonjwa 398,000 wa virusi hivyo waliothibitishwa ,...
Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 12,722
Reviewed by habari motto
on
10:33 AM
Rating:
