Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Masanja Mwinamila amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kumteka mtoto mwenye ulemavu wa ngozi yaani albino mkoani Tabora
Ahukumiwa Miaka 10 Jela Kwa Kumteka Albino
Reviewed by habari motto
on
7:17 PM
Rating: 5