Ajali mbaya ya basi liitwalo Another G lililokuwa likitoka Iringa-Njombe usiku huu, limegongana na lorry la mizigo kijiji cha Kinanyambo maeneo ya mafinga. inasemekana gari limeharibika kabisa taarifa za awali waliofariki 22 majeruhi 34. Tumwombe sana Mungu kwa ajili ya damu zinazomwagika zisizonahatia




Ajali Mbali Nyanda Za Juu Kusini
Reviewed by habari motto
on
6:37 AM
Rating: