DAVIDO Atoa Mpya Kwa Watanzania


Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz"


Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia maoenzi na kiba anayetaka kupaa.

Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu

Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.

Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo


Insurance                                Loans                                    Mortgage

HATIMAYE SIRI IMEFICHUKA, MGOMBEA URAIS WA CCM ALIYEANDALIWA NI HUYU, BOFYA HAPA CHINI KUMUONA
DAVIDO Atoa Mpya Kwa Watanzania DAVIDO Atoa Mpya Kwa Watanzania Reviewed by habari motto on 7:18 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.