Diamond Platnumz Aja Na #ChibuBeats

 
Kuna story mitandaoni kwamba Diamond nae anakuja na earphones na headphone ambazo zitaitwa Chibu Beats, ishu ya jina watu wanasemaje?

Wapo waliosema hilo jina halina maana yoyote kwa TZ, Soudy Brown kamcheki Babu Tale ambae ni Meneja wa Diamond Platnumz.. amesema Diamond jina lake halisi ni Naseeb lakini jina la Chibu alikuwa anaitwa wakati akiwa mdogo.

Kingine Babu Tale amesema wameamua kuikuza biashara ya Diamond kwa kutoa brands hizo ili kwa sababu tayari Diamond Platnumz ametengeneza jina kubwa kupitia muziki.

Sauti ya Babu Tale iiyorekodiwa na Millard Ayo kwenye U Heard iko hapa
Diamond Platnumz Aja Na #ChibuBeats Diamond Platnumz Aja Na #ChibuBeats Reviewed by habari motto on 11:12 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.