Moja
ya Couple za mastaa zilizokuwa maarufu ni ile ya Gadner na Msanii
maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady Jaydee, Lakini mapenzi hayo
yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli
zaidi ya hao wawili.

Nimekuletea picha hizi zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka sasa hajajulikana aliemvalisha pete ni nani....
Jaydee akionyesha pete yake..
CREDIT KWA Hass Media
Lady Jaydee Afutwa Machoz, avalishwa pete...
Reviewed by habari motto
on
9:58 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
9:58 AM
Rating:

