Lamborghini Aliyoonekana Nayo Diamond Yazua Utata Mkubwa


11357582_403837233141782_123991625_n

Gari ambalo Diamond alikodi kwaajili ya video ya wimbo wa Yamoto Band ‘Cheza Kimadoido’ inayofanyika Afrika Kusini


Jana Diamond Platnumz alipost picha akiwa kwenye gari ya kifahari na kuandika: Thanks alot baby it’s Finaly Here @zarithebosslady.”
Wengi walitafsiri maneno hayo kama kuwa Diamond anamshukuru Zari kwa kumnunulia gari. Ukweli ni kuwa Diamond alikuwa akimshukuru mchumba wake huyo kwa kuwezesha kupitia connection zake kukodi gari ambalo lingetumika kwenye video ya Yamoto Band inayofanyika Afrika Kusini. 
11401228_10207279335086620_2546809343391220504_n

Diamond akiwa na mmiliki wa gari hilo
Kupitia Facebook ambako aliweka picha za mmiliki wa gari hilo akiwa na Diamond, Zari alifafanua kwa kuandika:
Many thanks to ma bro Katsha the king of rides, for making it happen, Ma boo couldn’t stop thanking me I guess it’s always good to have a gal who’s got ya back…. thanks once again. Watch the space # 
Lamborghini Aliyoonekana Nayo Diamond Yazua Utata Mkubwa Lamborghini Aliyoonekana Nayo Diamond Yazua Utata Mkubwa Reviewed by habari motto on 7:41 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.