Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle ya kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015![]() |
| Wana CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga kelele kumwita Mh. Lowassa, ili awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la uwanja wa ndege wa Musoma |
![]() |
| Mh. Lowassa, akiwasili ofisi za CCM wilaya ya Bunda |
![]() |
| Mh. Lowassa, (kushoto), akiwashukuru wana CCM na wananchi waliojitokeza kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, wengine kwa nia ya kumdhamini na wengine kumuona |
![]() |
| Umati wa watu uliofurika kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, huku wengine wakiwa juu ya mti walau wapate kumuona |
![]() |
| Mh. Lowassa a,kiwasili ofisi za CCM wilaya ya Musoma |
![]() |
| Mh. Lowassa akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime mkoani Mara |
![]() |
| Mh. Lowassa mkiwapungia wana CCM na wananchi wengine alipowasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime |
![]() |
| Msanii huyu yeye aliamua kuja na ritungu huko Rorya wakati Mh. Lowassa a.lipowasili ofisi za CCM wilaya ya Rorya |
Lowassa Alivyotikisa Musoma
Reviewed by habari motto
on
11:16 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
11:16 PM
Rating:









