Lowassa Apigwa Mawe Tarime

Ni katika harakati zake za kutafuta wadhamini mikoa mbali mbali, kazi anayoifanya kwa kutumia usafiri wa ndege binafsi alizopewa na marafiki zake kama anavyodai.
Leo ilikuwa zamu ya mkoa wa Mara ambapo amedhamiria kufikia wilaya zote za mkoa wa Mara. Alipofika Tarime ndipo wananchi walishikwa na hasira na kuanza kutoa maneno mbalimbali. Maneno hayo mengine yalisikika yakisema Mwizi wa rasirimali zetu. Hapo ndipo mawe yakisema kurushwa toka kwa huo umati ndipo hatua za kumnusuru zilichukuliwa kwa kupeleka ndani ya gari.

Lakini kwa hapa Musoma, vijana wa bodaboda wapatao 200 kila mmoja alikuwa anapewa 20,000 /= na mafuta lita 5 yaani full tank, ili waweze kufanya mapokezi.

CREDIT KWA KITENGELE BLOG
Lowassa Apigwa Mawe Tarime Lowassa Apigwa Mawe Tarime Reviewed by habari motto on 11:19 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.