![]() |
| Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi . |
![]() |
| Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo ,wakimsikiliza mstahiki Meya,Jafary Michael (hayuko pichani). |
![]() |
| Msatahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkuta huo. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway. |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema taifa ,Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya Railway mjini Moshi. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. |
![]() |
| Mbowe akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano huo . |
![]() |
| Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi waliojirtokeza katika mkutano huo. |
![]() |
| Mbowe akisindikizwa na wananchi wakati akiondoka katika viwaja ya Railway. credit kwa Dixon Busagaga |
Mbowe, Ndesamburo, Jafari Watikisa Mji Wa Moshi
Reviewed by habari motto
on
9:37 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
9:37 AM
Rating:


















