Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya kimesema hizi ndio video 9 bora za Africa zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz).
9.Runtown -The Banger ft Uhuru
8.Iyanya ft Diamond Platnumz – Nakupenda
7.Vanessa Mdee ft K.O – No body But Me
6.Wiz Kid- Expensive Sh*t
5.Mi Abaga – Bad Belle ft Moti Cakes
4.Davido ft Meek Mill – Fans mi
3.Diamond Platnumz ft Mr Flavour – Nana
2.Yemi Alade ft Phyno- Taking Over Me
1.Olamide – Bobo
Nyimbo mbili za TZ kwenye list ya Top 10 ya Trace TV
Reviewed by habari motto
on
7:33 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
7:33 AM
Rating: