Watoto Waongo Ndio Wenye Akili Zaidi Kuliko Wasiodanganya


Wanasayansi nchini Uingereza wanasema kuwa wana ushahidi kwamba watoto wanaodanganya bila mtu kugundua wana kumbukumbu nzuri ikilinganishwa na wale wasiodanganya.

Watafiti katika chuo kikuu cha Sheffield kwa siri walichukua filamu ya watoto wa umri wa miaka sita na saba wakifanya mtihani uliokuwa na majibu ambayo yalikuwa yameandikwa nyuma ya zao.

Wale waliodanganya kuhusu kile waliochofanya walifanya vyema kutokana na uwezo wao kukumbuka walichofunzwa.

Mmoja ya watafiti hao Elena Hoicka alisema kuwa sababu kuu ni kwamba wale wanaodanganya hulazimika kukumbuka ukweli wote pamoja na uongo.

(1.5MB)DOWNLOAD HAPA CHINI VIDEO YA MCHAWI AKIWA AMENASA

Watoto Waongo Ndio Wenye Akili Zaidi Kuliko Wasiodanganya Watoto Waongo Ndio Wenye Akili Zaidi Kuliko Wasiodanganya  Reviewed by habari motto on 6:23 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.