Wema Sepetu Kuingia Kwenye Siasa Rasmi,

Wema Sepetu
Jana June 16 2015 Miss Tanzania 2015 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia kwenye siasa rasmi kabisa.
Post nyingine ni hii aliyoweka saa chache tu kwenye ukurasa wake @Instagram, haya ni mengine kuhusu yeye na Ubunge>>>”Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na
kunilea katika maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya…
Wema Sepetu Kuingia Kwenye Siasa Rasmi, Wema Sepetu Kuingia Kwenye Siasa Rasmi, Reviewed by habari motto on 7:25 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.