Membe amsifu Zitto.Amtaja kama mwanasiasa imara wa upinzani.

Mhe Zitto Kabwe Hongera kwa kuwaonyesha Watanzania tofauti kati ya ACT Wazalendo na UKAWA kuanzia tarehe 5/11/15 siku ambayo mgombea Urais wa ACT alikwenda Diamond Jubilee Hall na kuonyesha ukomavu na uzalendo tofauti na UKAWA na jana wewe mwenyewe ulipoamua kubaki ndani ya Bunge kuungana na wabunge wa CCM kusikiliza hotuba ya Mhe Rais. Hukufanya vile kupingana na UKAWA la hasha! Ulifanya vile kuonyesha kuwa ACT Wazalendo ni mpinzani mshiriki na siyo mpinzani mkosefu! Aidha kuacha wenzako wanatoka na ukabaki peke yako ni kitendo cha ukomavu na ujasiri. "Better him from within than Him from without" (Shakespeare) Wengi tunakupongeza! Membe.
Membe amsifu Zitto.Amtaja kama mwanasiasa imara wa upinzani. Membe amsifu Zitto.Amtaja kama mwanasiasa imara wa upinzani. Reviewed by habari motto on 8:18 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.