Results for "AFYA"

Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 12,722

10:33 AM
Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

Idadi hiyo inaweka watu waliofariki kutokana na virusi hivyo nchini humo kufikia 12,722 kulingana na data za chuo kikuu cha Johns Hopkins.
Marekani ina wagonjwa 398,000 wa virusi hivyo waliothibitishwa , ikiwa ndio idadi kubwa zaidi duniani .
Wakati hayo yakijiri, Rais wa Marekani Trump ametishia kulikatia fedha shirika la afya Duniani WHO kwa sababu amesema shirika hilo halikutilia maanani kwa namna ilivyopasa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona.
Trump amelilaumu shirika hilo kwa kuegemea zaidi upande wa China.  Rais huyo wa Marekani amedai kwamba asasi hiyo ya kimataifa ilishirikiana na China katika miezi kadhaa iliyopita kupuuza hatari ya maambukizi ya virusi vya corona.
Akitoa taarifa juu ya hali ya maambukizi hayo nchini Marekani, Trump alipuuza umuhimu wa taarifa ya mshauri mwandamizi iliyotolewa mapema mwaka huu kutahadharisha juu ya uwezekano wa kulipuka kwa maambukizi hayo. Rais huyo amedai kwamba hakuiona taarifa hiyo.
Badala yake Rais huyo wa Marekani amelishukia shirika la afya duniani WHO na kulitishia kulikatia fedha.Trump amesema asasi hiyo inaegemea sana upande wa China kuhusu mkakati wake wa kupambana na maambukizi ya virusi vya corona.
Amedai kwamba Shirika la WHO lilishirikiana na China katika juhudi za nchi hiyo za kupunguza hatari ya mlipuko wa maambukizi hayo.
Rais Trump amesema Shirika hilo limeisifu China ingawa pana sababu ya kuwa na mashaka juu ya idadi rasmi  iliyotolewa na serikali ya China juu ya vifo vilivyotokana na mambukizi ya virusi vya corona
Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 12,722 Waliofariki Kwa Corona Marekani Wafika 12,722 Reviewed by habari motto on 10:33 AM Rating: 5

Afrika Kusini yapiga marufuku raia wake kutoka nje

11:32 AM
Afrika Kusini imeanza kutekeleza leo amri ya watu kubakia majumbani mwao chini ya uangalizi wa jeshi, na kujiunga na nchi nyingine za Afrika zinazoweka hatua kali za watu kutotoka nje na kufunga shughuli nyingi katika jitihada za kusitisha kusambaa kwa virusi vya corona.

Watu milioni 60 nchini Afrika Kusini watalazimika kukaa nyumbani kwa siku 21.

Afrika Kusini ina visa 927 vya maambukizi ya virusi vinavyo sababisha ugonjwa hatari wa Covid-19 (Corona).

Hatua hizo zilitangazwa Jumatatu jioni na Rais Cyril Ramaphosa, ambaye alisema anataka kuzuia mlipuko wa janga la Covid-19 na kuepuka janga la kiafya.

"Kaeni nyumbani.... Baa, migahawa, maeneo ya starehe, mbuga, makanisa vimefungwa. Hakuna gari inyopaswa kutembea katika mitaa ya nchi hiyo.

"Maafisa pekee wanaofanya kazi katika sekta muhimu ndo ambao wanaruhusiwa kwenda kazini: hospitali, maduka ya dawa, maduka makubwa, maduka ya chakula. Watu wanaofanya kazi katika sekta za maji na umeme wanaweza pia kwenda kazi. Wafanya kazi katika sekta ya migodi ya makaa ya mawe, wataendelea kuripoti kazini.

"Ni marufuku mtu kutoka nje, barabarani, kwenda sehemu anakotaka," ameonya Waziri wa Polisi Mbeki Cele.
Afrika Kusini yapiga marufuku raia wake kutoka nje Afrika Kusini yapiga marufuku raia wake kutoka nje Reviewed by habari motto on 11:32 AM Rating: 5

Faida 48 za Juisi ya Tangawizi

9:26 AM


Huwa inanishangaza sana ninapoutafakari ukuu wa Mungu kwa namna ambayo ametupa mimea mbalimbali mhimu kwa ajili ya afya zetu – Mwanzo 1:29. Maelezo yafuatayo kuhusu tangawizi yatakupa wewe ujuzi wa mmea mwingine wa asili usio na madhara ya kikemikali na kusaidia mwili wako kuwa na afya nzuri na ya kupendeza.

Tafiti mpya zinazidi kuonyesha namna mmea huu ulivyo wa mhimu kwa afya ya binadamu ikihusisha uwezo wake wa kudili na aina mbalimbali za kansa mwilini na tafiti nyingine zinaendelea kufanyika.

Tangawizi inaweza kuwekwa karibu kwenye kila chakula, iwe ni katika kuilainisha nyama nyekundu, kuongeza radha katika nyama au samaki, kama chai, kwenye juisi na kadharika. Binafsi napenda ikiwa kwenye juisi ya matunda ndiyo inakuwa tamu zaidi na inaenda kufanya kazi mwilini haraka zaidi.Tangawizi ni zao la kibiashara na ni rahisi kutoka kimaisha kama utaamua kulima tangawizi ingawa ni zao la miezi mingi lakini ukivumilia utakula bata tu, gunia moja linauzwa kati ya laki 3 hadi 6 wakati wa msimu mzuri.

Tangawizi iliorodheshwa kwa mara ya kwanza na serikali ya Marekani kama dawa kwa ajili ya binadamu kati ya mwaka 1820 na 1873.

Tangawizi huongezwa pia katika vinywaji vingi vya viwandani zikiwemo soda ili kupata radha nzuri zaidi.

Leo nimekuletea hii juisi ya tangawizi, nimetumia tangawizi mbichi za ukubwa wa kati nne, parachichi moja na asali mbichi vijiko vikubwa saba na na maji lita moja na nusu.

Kazi 48 za tangawizi mwilini

  1. Huondoa sumu mwilini haraka sana
  2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi
  3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi
  4. Huondoa uvimbe mwilini
  5. Huondoa msongamano mapafuni
  6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake
  7. Huondoa maumivu ya koo
  8. Huua virusi wa homa
  9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
  10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills)
  11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
  12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol”
  13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-related cancer)
  14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
  15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
  16. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo
  17. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi
  18. Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi
  19. Huongeza msukumo wa damu
  20. Husaidia kuzuia shambulio la moyo
  21. Huzuia damu kuganda
  22. Hushusha kolesto
  23. Husafisha damu
  24. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa
  25. Hutibu shinikizo la juu la damu
  26. Husafisha utumbo mpana
  27. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma
  28. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI ZAIDI
  29. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
  30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
  31. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu
  32. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa
  33. Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula
  34. Husaidia kuzuia kuharisha
  35. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu
  36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
  37. Hutibu homa ya kichwa
  38. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
  39. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito
  40. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis)
  41. Huimarisha afya ya figo
  42. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi
  43. Ina madini ya potassium ya kutosha
  44. Ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali.
  45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha
  46. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium
  47. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene
  48. Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita
Faida 48 za Juisi ya Tangawizi Faida 48 za Juisi ya Tangawizi Reviewed by habari motto on 9:26 AM Rating: 5

Kulala mchana kunazuia mshutuko wa moyo

1:30 PM

Uchunguzi unaonyesha kuwa kulala wakati wa mchana kunapunguza shinikizo la damu na pia kupunguza hatari ya kupatwa na mshutuko wa moyo pamoja na kiharusi.

Kulingana na utafiti, kulala kwa muda wa nusu saa ua zaidi wakati wa mchana hupunguza hatari ya kupatwa na mshutuko wa moyo kwa hadi asilimia 10.

Takriban watu 400 waliokuwa na shinikizo la damu walishiriki katika utafiti uliofanywa nchini Ugiriki. Matokeo ya utafiti huo yaliwasilishwa katika chama kinachohusika na masuala ya damu barani ulaya.

Watafiti sasa wanataka kufanya uchunguzi zaidi kuhusu matokeo yanayotakana na watu kulala saa za mchana.

Kulala mchana kunazuia mshutuko wa moyo Kulala mchana kunazuia mshutuko wa moyo Reviewed by habari motto on 1:30 PM Rating: 5

Korea ya Kaskazini Yagundua Tiba ya UKIMWI

7:23 AM


Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI kutoka kwenye mmea. Uthibitisho wa Kisayansi kutoka Nchi nyingine haujafanyika kuthibitisha tiba hiyo. 
-Kwa mujibu wa tovuti moja ya Korea ya Kaskazini, dawa hiyo kwa mara ya kwanza iligunduliwa mwaka 1996


Insurance                                Loans                                    Mortgage

HATIMAYE SIRI IMEFICHUKA, MGOMBEA URAIS WA CCM ALIYEANDALIWA NI HUYU, BOFYA HAPA CHINI KUMUONA
Korea ya Kaskazini Yagundua Tiba ya UKIMWI Korea ya Kaskazini Yagundua Tiba ya UKIMWI Reviewed by habari motto on 7:23 AM Rating: 5

10 REASONS WHY S'EX HAS SOME VERY GOOD BENEFITS FOR YOUR HEALTH!!!

8:40 AM
           
After the claim that men who have had more than 20 partners cut the risk of prostate cancer, here are 10 other ways that sex is great for your health 

The news will have put a spring in the step of red blooded males everywhere – regular sex can reduce the risk of prostate cancer. 
Scientists at the University of Montreal yesterday revealed that men who had slept with at least 20 women during their lives were 28% less likely to develop the disease. 
Meanwhile men who were virgins were almost twice as likely to be diagnosed with the cancer. 
But that’s not all. It turns out that jumping between the sheets can have a host of other health benefits for men AND women. 

1. As a cold cure 
There may be no cure but the best way to protect yourself from a cold is to have sex at least twice a week , according to researchers at Wilkes University in Pennsylvania. 
A study published in 1999 found regular sex could boost levels of immunoglobulin in the blood by 20%. The antibody destroys bacteria and protects against colds and flu. Plus it’s far more fun than a flu jab. 

2. Easing stress 
Sex is the ultimate stress buster and a study in the journal Biological Psychology found that lovers who had had sex the night before reacted better to stressful situations.
That is because the pleasure of another person’s touch, kissing and cuddling, lowers levels of the stress hormone cortisol and boosts the body’s happy hormones such as oxytocin. It also means sex can help to combat depression. 

3. As a painkiller 
Next time your other half tells you they have a headache, you can inform them that sex is actually an excellent painkiller. 
Research published in the Bulletin of Experimental Biology and Medicine found that an orgasm could halve the body’s sensitivity to pain, including back pain, migraines and arthritis. Sex raises the level of endorphins, the body’s own painkillers, by a third in minutes, making it far quicker than popping pills. 

4. For looking young 
The secret to looking younger could lie in the bedroom not the Botox, say scientists at the Royal Edinburgh University. They found couples who have sex at least four times a week look 10 times younger. 
That is because the pleasure releases healthy hormones such as adrenaline, dopamine and norepinephrine that help to preserve skin cells and relax muscles to prevent wrinkles. 
And the good news for couples is that “loving intercourse” with a regular partner is better than promiscuous sex. 

5. Preventing heart attacks and strokes 
Men who make love to their partner at least twice a week are 45% less likely to develop a life threatening heart condition. 
Regular sex can help to lower blood pressure, which can reduce the risk of common killers such as heart attacks and strokes. 
Scientists at the New England Research Institute in Massachusetts studied the sex lives of more than 1,000 men and were so impressed by the results they urged doctors to screen men for sexual activity.
The term “horizontal jogging” may actually be apt as sex is an excellent way to burn off extra calories. 

Doctors at the University of Montreal found that a 24-minute session in the sack can burn 104 calories for men and 67 calories for women. That means sex is a more effective form of exercise than walking. But be warned, a six minute “quickie” burns just 20 calories, so don’t skip the foreplay. 

7. Preventing breast cancer 
As well as prostate cancer, an active love life can also guard against breast cancer in both men and women. A Greek study published in the British Journal of Cancer in 2000 found that men who had fewer than six orgasms a month were at significantly higher risk of developing the disease. 
Meanwhile a study of French women published in 1989 found those without a sexual partner, or who had sex less than once a month, were at higher risk of being diagnosed with it. 

8. For stronger bones 
Sex can help men top up their levels of testosterone and women to maintain their levels of oestrogen. But these are not just sex hormones. 
They can also help to stop bone density deteriorating with age, reducing the risk of diseases like the brittle bone disorder osteoporosis. 

9. Helping you sleep 
Forget counting sheep, say scientists at the French medical research council Inserm. 
Their study published in 2012 found the body released relaxing chemicals such as serotonin after orgasm, helping maintain healthy sleep patterns. They also found men were more likely to feel sleepy after sex – which means they do have an excuse for nodding off instead of wanting to cuddle or chat.
Insurance
10. Easing endometriosis 
Sex during menstruation can help combat endometriosis, a condition that can affect fertility, according to researchers at Yale University. 
It also acts as a good workout for a woman’s pelvic floor muscles as they contract during orgasm, helping reduce the risk of incontinence.
 

KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>
10 REASONS WHY S'EX HAS SOME VERY GOOD BENEFITS FOR YOUR HEALTH!!! 10 REASONS WHY S'EX HAS SOME VERY GOOD BENEFITS FOR YOUR HEALTH!!! Reviewed by habari motto on 8:40 AM Rating: 5

Ukweli Kuhusu Uchoraji Wa Tatoo Kwa Wanawake

9:39 AM

Tattoo ni moja kati ya pambo kama mapambo mengine kama vile uvaaji hereni,cheni au kusuka.Wanawake huchora tattoo sehemu tofauti tofauti za

mwili kutokana na mapenzi yake kwa mfano wengine hupenda kuchora shingoni,pajani,mkononi na kwabaadhi ya watu huthubutu kuchora hata katika sehemu zao za siri bila hata haya umeanika uchi wako kwa tattoo artist eti akuchore hapo sirini ,jamani watu wanahatari.


Kwa mdada wa kitanzania kwa hali ya kawaida kuchora tattoo sio jambo la kawaida sana kutokana na ukweli kwamba huu si utamaduni wetu bali ni utamaduni wan chi za kimagharibi kama vile Marekani,Uingereza na nyinginezo,ndio maana katika maeneo mengi hapa nchini kwetu ikitokea umemwona mdada amechora tattoo lazima utashtuka na kuna fikra hasi/mbaya zinakujia akilini juu ya tabia ya dada yule hata kama hunauhakika kama anatabia nzuri au mbaya, sijui kama hali hii imeshawahi kukutokea.


Uchoraji wa tattoo kwa mdada wa kitanzania si jambo la kujisifu wala si la kuona fahari eti utaonekana mjanja au mtu unayekwenda na wakati kwani katika jamii yetu hili si jambo lililozoeleka hivyo kwa kiasi kikubwa utakuwa unakutana na changamoto kadhaa achilia mbali matatizo ya kiafya ambayo unaweza kupata kama vile magonjwa ya kansa ya ngozi.


Miongoni mwa changamoto utakazokutana nazo ni kama vile kuhusishwa au kudhaniwa kuwa ni Muhuni na mtu mwenye tabia chafu ambaye hustahili kuigwa katika jamii.Watu watakuchukulia kama mtu uliyeshindikana hata kama katika hali halisi hauna hizo tabia kabisa,hivyo kama umejichora tattoo usije ukashangaa wanajamii wasipokupa ushirikiano wa kutosha katika baadhi ya mambo kwani unaonekana tofauti na wanajamii wengine wa kawaida.


Wanaume wenye maadili na hadhi ya kiafrika hakika hawatakuwa karibu na hata huwezi kumshawishi chochote kuingia katika uhusiano na mdada aliyejichorachora tattoo kwani huamini kuwa wewe ni muhuni na mchafu wa tabia,hivyo utapata changamoto kuolewa au kuwa katika uhusiano na watu wenye malengo ya kutengeneza familia badala yake utajikuta unaingia katika uhusiano na mwanaume mwenye akili za kimagharibi kama wewe ambaye si muoaji au mwenye tabia za ajabu ajabu ambao wamezoeleka kuitwa pasua kichwa.

Insurance  
Hivyo mdada wa kitanzania Urembo sio lazima ujichorechore tattoo kwani si sehemu ya utamaduni wetu,binti wa kiafrika hujitunza,hujithamini na kuheshimu watu wengine na ndio maana hata hao wazungu huwa wanawapenda sana wanawake hawa kuliko hata wazungu wenzao ambao wamejawa na tabia za ajabu ajabu zisizoweza hata kuvumilika na mzungu mwenzie 
KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>

Ukweli Kuhusu Uchoraji Wa Tatoo Kwa Wanawake Ukweli Kuhusu Uchoraji Wa Tatoo Kwa Wanawake Reviewed by habari motto on 9:39 AM Rating: 5

Sasa hivi kwa kutumia Smartphone yako unaweza kufanya vipimo vya HIV na magonjwa ya zinaa.

7:00 AM
pimaTimu ya watafiti kutoka chuo cha Columbia Univesity kimebaini simu za kisasa za smartphone zinaweza kupima kwa haraka na urahisi virusi vya Ukimwi na magonjwa wa zinaa.
Kwa kutumia App ambayo una-install kwenye smartphone ama iPad, halafu unaunganisha kwenye simu kupitia tundu la kuwekea headphone, basi majibu ya vipimo hivyo yanapatikana ndani ya dakika 15!
Kifaa hicho kinapatikana kwa gharama ya Dola 34 (sawa na sh. 55,000/= Tshs).
.
Hii ni iPhone ikiwa imeungwa na kifaa hicho.
Inasemekana hadi sasa wanawake 96 kutoka Uganda wamefanyiwa vipimo kwa njia hiyo na kupata majibu yanayoridhisha na kuchapishwa kwenye jarida la masuala ya sayansi na tiba Uganda.
Chanzo:Millardayo.
Sasa hivi kwa kutumia Smartphone yako unaweza kufanya vipimo vya HIV na magonjwa ya zinaa. Sasa hivi kwa kutumia Smartphone yako unaweza kufanya vipimo vya HIV na magonjwa ya zinaa. Reviewed by habari motto on 7:00 AM Rating: 5

Wanawake wa Mjini na Style Mpya ya Kujifungua

11:56 AM
Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!
Wanawake wa Mjini na Style Mpya ya Kujifungua Wanawake wa Mjini na Style Mpya ya Kujifungua Reviewed by habari motto on 11:56 AM Rating: 5

Hivi Ni Virusi Vinavyoenezwa Na Busu La Mdomoni

7:40 AM
Utafiti uliochapishwa na jarida la Microbiome la Uingereza limeonyesha kuwa upigaji busu unaweza kusafirisha zaidi ya bakteria milioni80 kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Daktari Sophianis Nyomyani wa Hospitali ya Mwananyamala anazungumzia utafiti huo na kusema  bakteria wengi ambao huambukizwa kwa njia ya busu na wengi huchukulia busu kama njia pekee ya kuonyesha upendo.
Utafiti huo pia umesema wapenzi ambao hupigana mabusu kwa wastani wa mara tisa kwa siku huwa na bakteria ambao wanaendana na hubadilishana kila wanapofanya tendo hilo.
“Ni upendo ila kiafya si salama,hata kama wanandoa wanashiriki katika kupigana busu,isiwe kwa kila mtu,ni lazima kuwe na mipaka,unaweza kumbusu mtu shavuni,nje ya mdomo,mkononi na kwingineko lakini siyo lazima mdomoni.
Hivi Ni Virusi Vinavyoenezwa Na Busu La Mdomoni Hivi Ni Virusi Vinavyoenezwa Na Busu La Mdomoni Reviewed by habari motto on 7:40 AM Rating: 5

Zifahamu Rangi Za Mkojo Wako Na Maana Yake

10:19 AM
1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):

Unakunywa maji mengi kupita kiasi. Ikiwezekana unashauriwa upunguze kidogo
2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo: 
               Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha.
3. Manjano iliyo pauka:

                    Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha

4. Njano iliyo kolea:

             Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha.

5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:

Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sana sasa.
6. Rangi ya Kahawia:

Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kama hali hii ikiendelea kujitokeza.

7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:

Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.

Credit Lucy Patrick
Zifahamu Rangi Za Mkojo Wako Na Maana Yake Zifahamu Rangi Za Mkojo Wako Na Maana Yake Reviewed by habari motto on 10:19 AM Rating: 5

Yajue Madhara Ya Viatu Virefu, Na Jinsi Ya Kuepuka.

8:05 AM
Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee bali dunia nzima. 
Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi huharibu pingili za uti wa mgongo na huvunjavunja mifupa ya visigino. Wanawake wenye maumbo ya kati, ambao si wanene wala wembamba wamekuwa wakipendelea viatu virefu. Kwa kiasi kikubwa wasichana wafupi, wamekuwa wakipendelea kuvaa viatu virefu ili angalau na wao waonekane warefu.

Ifaamike kuwa unapovaa viatu hivi uzito wa mwili uamia mbele ya mwili na kufanya nyonga isogee mbele na kumfanya mtu awe na kiuno kizuri na mgongo unaovutia hivyo kutegemea viatu hivi kwa muda uharibu umbo pale anapovaa viatu vya kawaida sambamba na Misuli ya visigino  kukakamaa na kumfanya mtu aonekane na mguu mzuri ufunga vidole vya miguu na kusababisha maumivu makali chini ya  mgongo na ulemavu wa vidole. Pia uweza kusababisha ugonjwa wa arthritisi kadiri umri unavyoongezeka na matatizo ya uzazi katika nyonga kutokana na kuelemewa na uzito asa kwenye jointi za magoti na nyonga.

ILI KUEPUKA MADHARA HAYA ZINGATIA YAFUATAYO

Fanya mazoezi ya kunyoosha miguu kabla ya kuvaa viatu hivi
Vaa viatu virefu kiasi maana kila urefu kwani madhara yake uongezeka kutokana na urefu wa viatu
Nunua viatu hivi wakati wa mchana mguu wako unakuwa umetanuka kidogo hivyo utaweza kupata size inayokufaa.
Usivae viatu virefu vilivyochongoka upande wa kidole gumba tu
Vaa viatu vyenye ngozi kwa ndani ili kuwezesha miguu kukaa vizuri.
Kuwa na pea nyingi za viatu ili kukuwezesha kubadilisha inapotokea madhara
Usivae sana wakati unatembea mwendo mrefu, wa haraka, na unatumia usafiri wa uma.
Yajue Madhara Ya Viatu Virefu, Na Jinsi Ya Kuepuka. Yajue Madhara Ya Viatu Virefu, Na Jinsi Ya Kuepuka. Reviewed by habari motto on 8:05 AM Rating: 5

Mambo 10 ya kushangaza kuhusu Kujamba

7:41 PM

Kwanini tunajamba? Kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu
 kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida
 sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba, hata Halle Berry nae hujamba. 

1. Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa nyingine husababishwa
 na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria. 

Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,
asilimia 9 ni carbon dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen. Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans, ambayo ndio ina sulfur ndani yake, sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti, hii ni 
kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
  
2. Kwanini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage, kabichi, soda na mayai. 

3. Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku. Inasemekana mtu akijamba 
mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu 
la atomiki. 

4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde. 
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua. 

5. Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako Madaktari hawajakubaliana moja kwa 
moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya. Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni 
sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hivyo kujizuia kujamba 
haitakuletea madhara. Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza 
kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha kikundu (hemorrhoids). 

6. Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini, kwao husalimiana kwa kujamba, na China unaweza 
kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani, Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya,alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets". 

7. Ushuzi Unawasha Moto
Kama ilivyoandikwa hapo juu, methane na hydrogen inayozalishwa na ushuzi inaweza 
sababisha moto.
 
8. Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote
Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming".
Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama,na hiyo huzalisha gesi ya methane. 

9. Ukiubana Ushuzi, Utakutoka Usingizini
Hata ujitahidi kuubana vipi, ushuzi utatoka mara utapokua umepumzika, hasa ukiwa umelala. 

10. Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika
Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya mtu kufariki dunia; hii huambatana
 na milio ya kujamba. Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa. 
Hii ni kwa hisani ya ODDEE
Mambo 10 ya kushangaza kuhusu Kujamba Mambo 10 ya kushangaza kuhusu Kujamba Reviewed by habari motto on 7:41 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.