HATIMAYE LULU KUSHANGAZWA NA MAPACHA






Mwanadada Elizabeth Michael LULU amekanusha kushirikishwa katika nyimbo wa wasaani wa HIP HOP  nchini Tanzania MAPACHA  iitwato - time for the money.
Mkali huyo wa bongo movies amekata kabis kwamba hausiki na nyimbo hiyo

MAPACHA WALIPOHOJIWA NA CLOUDS FM KATIKA KIPINDI CHA XXL WALISEMA WAMEFANYA KAZI NA LULU


 ILA LULU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WA INSTAGRAM KASEMA KUWA YEYE HAJAHUSIKA WALA HATA IDEA HANA KABISAA..



HATIMAYE LULU KUSHANGAZWA NA MAPACHA HATIMAYE LULU KUSHANGAZWA NA MAPACHA Reviewed by habari motto on 12:13 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.