LUPITA NYONGO AMEWEKA HADHARANI ANAYEMFAIDI


Mwanadada aliyeshinda tuzo za Oscar  ameweka hadhani mwanaume anayempagawisha zaidi na yuko tayari kufunga naye pingu za maisha
mrembo huyo ambaye siku za karibuni aliwekwa  kwenye cover la VOGUE MAGAZINE alihusishwa kipindi cha nyuma na wanaume kadhaa kama Michael Fassbender na Jared Leto.
Mwanaume mwenyewe siyo mwingine ila ni K NAAN

 LUPIPA NYONGO NA MWANUME WAKE K NAAN




LUPITA NYONGO AMEWEKA HADHARANI ANAYEMFAIDI LUPITA NYONGO AMEWEKA HADHARANI ANAYEMFAIDI Reviewed by habari motto on 6:56 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.