Zile
habari ya kwamba hotel ya Naura Spring ya Arusha inawaka moto zilikuwa
si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea
kwenye mitandao ya kijamii. Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas
ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel
hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za
kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas
Naura Spring Hotel inavyoonekana katika picha
ALICHOKISEMA MKUU WA POLISI KUHUSU NAURA SPRING KUWAKA MOTO
Reviewed by habari motto
on
8:59 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
8:59 AM
Rating:
