DIMOND ACHUKUA TUZO KORA

Ni msanii Nasseb Abdul (Diamond) WA  Tanzania, aliyeiwakilisha Tanzania na Afrika ya Mashariki kwenye mashindano ya Kora ameshinda tuzo ya best male artist of East Africa 



Shukrani zangu za dhati ziende kwenu Wadau na Mashabiki zangu kwa Kura zenu nyingi mlizonipigia kwenye Tuzo za Kora na Kunifanikisha kushinda "Platinum Certificate" ya kuwa Msanii Bora wa Kiume Toka East Africa... Next stop! Afrimma Awards, Let's Go get it Hommies!!!!! 
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
DIMOND ACHUKUA TUZO KORA DIMOND ACHUKUA TUZO KORA Reviewed by habari motto on 9:31 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.