FAMILIA YA DOTNATA YAONGEZEKA..

DOT

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Husna Poshi ‘Dotnata’ ambaye aliwahi kuchukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, nakuwataka waache.
Msanii huyo amesema amefurahi sana kumpata mjukuu wa mwanae aliemlea takribani miaka10 lakini amependa kuwasii wakinamama kuwa mtoto wa kike achungwi muelimishe maana mwanae huyu ni bubu na alikua anamlinda sana lakini kapata mimba hivyo nawahusia wanawake wenzangu tuwaelimishe wenetu mapema tuwajenge tusiwafiche kitu ili waelewe faida na hasara yake ili nawewe yasikukute haya na yakikukuta usipate lawama awe amejiaribia mwenyewe tuongee na mabinti zetu.
FAMILIA YA DOTNATA YAONGEZEKA.. FAMILIA YA DOTNATA YAONGEZEKA.. Reviewed by habari motto on 4:18 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.