Robert Martin Gumbura, mchungaji kutoka nchini Zimbabwe mwenye wake 11 amewabaka wasichana wanne ambao ni waumini wa kanisa lake nchini humo.
Mchungaji huyo ambaye ni mwanzilishi wa kanisa liitwalo‘Robert Martin Gumbura Independent End Time Message Church’ amehukumiwa kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka 50 siku ya jana jumanne kwa kosa la kuwabaka na kuwadhalilisha wanawake hao kijinsia.
Taarifa zilizoifikia Fichuo Tz zinaeleza kuwa mchungaji huyo mwenye umri wa miaka 57 ambaye tayari anao wake 11 na watoto 30 alidai kwamba wanachama wote wa kike wa kanisa lake walikuwa na wake zake kwa haki, na wanawake walioolewa walikuwa wakiishi na waume zao kimkopo kwa kuwa nao ni wake zake kihaki.
Hakimu katika mahakama iliyotoa hukumu hiyo, hakimu Hoseah Mujaya alisema,
Hakimu katika mahakama iliyotoa hukumu hiyo, hakimu Hoseah Mujaya alisema,
HII KALI KWELI, MCHUNGAJI MWENYE WAKE 11 ABAKA WANAWAKE 4 KANISANI
Reviewed by habari motto
on
1:19 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
1:19 PM
Rating:

