Siku ya Jumatano July 02
ulisikia ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wa kipindi cha XXL ambapo
zilisikika kelele za watu kugombana na pia vitu kama chupa kuvunjika leo
kupitia website ya mtangazaji wa clouds fm imeandika kuhusu ukweli juu
ya tukio lilotokea,leo
July 04 wameeleza ukweli juu ya kilichotokea na kusema hii wamefanya
kwa ajili ya kampeni ambayo Clouds Media Group wanaiendesha kwa sasa
waliyoipa jina la Paza Sauti.
Kampeni hii ikiwa na
malengo makuu ya kuhamasisha utoaji wa taarifa ambazo unaziona mtaani
kwako kama haziko sawa kutoa taarifa hasa kwa vyombo vya dola ikiwemo
Polisi ili kwa pamoja tuidumishe amani tuliyonayo Tanzania,Paza
Sauti,Ukimya Hausaidii..
Bonyeza play kusikiliza maana halisi ya Paza sauti.
Bonyeza play kusikiliza maana halisi ya Paza sauti.
HII NI SABABU YA WATANGAZIAJI WA CLOUDS FM KUGOMBANA
Reviewed by habari motto
on
11:51 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
11:51 PM
Rating:
