HIVI NDIVYO BILIONAINAIRE WA BONGO MKRISTO ANAVYOSHIRIKI KIKAMILIFU MFUNGO WA RAMADHANI...

Mkurugenzi Mkuu wa Delina Groups Inc. Super Mogul Davis Mosha mwenye njano akiwafuturisha wananchi nyumbani kwake muda mchche uliopita, Mwenyekiti huyo wa zamani wa Yanga amekuwa akiwafuturisha wananchi nyumbani kwake kwa takribani Miaka 15 sasa. Kila mfungo wa Ramdan unapofika huwafuturisha wananchi wengi asiowafahamu nyumbani kwake kila siku mpaka mwisho wa mfungo. Kazi hiyo hufanywa na mkewe hata Kama Super Mogul Mosha akiwa hayupo amesafiri kama wiki nzima iliyopita. Mmoja kati ya wananchi hao ambaye amekuwa akifuturu hapo kwa miaka kama 10 sasa alisema kwamba ni thawabu kubwa sana kutoka kwa Mungu  kwa Mosha kwa kitendo anachokifanya.






HIVI NDIVYO BILIONAINAIRE WA BONGO MKRISTO ANAVYOSHIRIKI KIKAMILIFU MFUNGO WA RAMADHANI... HIVI NDIVYO BILIONAINAIRE WA BONGO MKRISTO ANAVYOSHIRIKI KIKAMILIFU MFUNGO WA RAMADHANI... Reviewed by habari motto on 1:01 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.