IKULU YAPATA UGENI MNONO KUTOKA JAPAN

IKULU YA TANZANIA IKIONGOZWA NA DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE IMETEMBELEWA NA WAGENI TOKA JAPAN. WAGENI HAO AMBAO NI MWANA WA MFALME WA JAPAN AKIONGOZAN NA MKE WAKE WAMEITEMBELEA IKULU HIYO LEO 03.06.2014
DR. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Simba waliotengenezwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014

  Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mblewa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Jakaya Mrisho Kikwete kartika picha ya pamoja na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea  jijini Dar es salaam leo July 3, 2014. Wengine ni WaZiri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi, balozi wa Tanzania nchini japan Mhe Salome Sijaona na balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe Masaki Okada

IKULU YAPATA UGENI MNONO KUTOKA JAPAN IKULU YAPATA UGENI MNONO KUTOKA JAPAN Reviewed by habari motto on 4:11 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.