NI MTOTO IDDA BAITWA ALIYEVUNJA REKODI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUPITIA NJIA NGUMU ZAIDI KIKIFIKIA KILELE CHA MLIMA HUO MREFU BARANI AFRICA. MTOTO IDDA ANAKUWA MTU WA KWANZA MWENYE UMRI MDOGO KUAPNDA MLIMA HUO KUPITIA NJIA HIYO



Mwisho
kabisa mtoto Idda na Nduguze wakatoboza kwenye kilele cha Uhuru na
kuandika historia ya kuwa mtoto wa kike wa miaka 9 kupanda Mlima
Kilimanjaro kwa kutumia njia ngumu ya Umbwe hadi kufika kileleni
MTOTO AVUNJA REKODI YA DUNIA
Reviewed by habari motto
on
11:09 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
11:09 AM
Rating:









