![]() |
| Venessa Mdee |
MSANII WA TANZANIA Venessa Mdee aka Vee Money, anayetamba kwa nyimbo nzuri nzuri kama come over anaendelea kutanua mipaka ya kazi yake. Ni baada ya kuthibitisha kuwa anatengeneza nyimbo huku akwashirikisha nyota wa Kenya SAUT SOL
Msanii huyo kwa sasa yuko Nairobi kurekodi katika studio za Cike Studio
Msanii huyo kwa sasa yuko Nairobi kurekodi katika studio za Cike Studio
VANESSA MDEE A.K.A VEE MONEY, AVUKA BODA KUWAFATA HAWA JAMAA
Reviewed by habari motto
on
8:16 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
8:16 AM
Rating:
