Picha hali Ilivyosasa kariakoo ambapo Wafanyabiashara wamefunga Maduka Yao ikidaiwa Kupinga matumizi ya mashine ya EFD..Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao
JE WAJUA SABABU? MADUKA YAFUNGWA KARIAKOO LEO
Reviewed by
habari motto
on
8:44 AM
Rating:
5