Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, 
Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya ziwa ukisikia nenno kama 'kabili
ng'wanza!' unaweza kuelewa.
ng'wanza!' unaweza kuelewa.
Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia.
The lion smashed one of the windows…
…and made a mess of the paint and bodywork with his claws
ONA HAPA JINSI SIMBA ALIVYOVAMIA GARI LA WATALII
Reviewed by habari motto
on
5:02 PM
Rating: