ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande w
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
Reviewed by habari motto
on
11:16 AM
Rating: