Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.
Wema sepetu amsaka Meninah kumlipua
Reviewed by habari motto
on
8:13 AM
Rating: