Gari ya Dar Xpress lifanyalo safari zake Kati ya Dar - Rombo likiwa limepata ajali jana jioni eneo la Marangu _Mamba. Watu kadhaa walijeruhiwa-NA THADE EXPENSIVE