Diamond Platinums Mashine ya Kuotea Mbali

 Diamond yupo katika level yake ya kipekee huko juu....unajua ilikuwaje??

kwenye tamasha la fiesta la Dodoma ilipigwa nyimbo ya mdogomdogo bila Diamond kuwepo na ilipata shangwe zaidi ya wanamuziki wote waliokuwa wakipeform..

Zaidi hata ya Ally Kiba ambaye wanafki wachache wanafanya makusudi kumlinganisha na Diamiond...hebu fikiria mtu hayupo ila anakufunika je angekuwepo???!! ………………


Diamond ni zawadi kutoka kwa Mungu kama unampenda ally kiba, barnaba na wengineo poa tu lakini tambua Diamond yupo kule juu anawaangalia wale waliopo chini.
Diamond Platinums Mashine ya Kuotea Mbali Diamond Platinums Mashine ya Kuotea Mbali Reviewed by habari motto on 7:45 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.