Floyd Mayweather Azidi Kuonyesha Jeuri Ya Fedha


Floyd Mayweather ameendelea kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutundika picha nyingine mtandaoni akihesabu ‘mahela’.
Bondia huyo ameishapigana mapambano 47 bila ya kupoteza hata moja, lakini baba yake mzazi amesisitiza, lazima pambano linalofuata litakuwa dhidi ya Manny Pacquiao.
Floyd amesema pambano kati ya mwanaye na Pacquiao litakuwa mwakani, lakini hakusema tarehe.
Linatarajiwa kuwa ndiyo pambano ghali zaidi kwa kuwa litagharimu hadi dola milioni 300.
Floyd Mayweather Azidi Kuonyesha Jeuri Ya Fedha Floyd Mayweather Azidi Kuonyesha Jeuri Ya Fedha Reviewed by habari motto on 10:01 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.