Mama Wa Makamu Avua Nguo Baada Ya Kusingiziwa Kuiba Simu

Mwanamke mmoja (pichani) aliyedaiwa kuwa ni mke wa mtu ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, hivi karibuni alikumbwa na aibu ya mwaka baada ya kutuhumiwa kwa wizi wa simu ya mkononi kwenye harusini

Timbwili hilo lililoshuhudiwa na mpiga chabo wetu lilimkuta mwanamama huyo ndani ya Ukumbi wa Deluxe Sinza. Baada ya kusingiziwa mmama huyu aliamua chojoa nguo zote mbele ya walizi ili ili kuthibitisha kuwa hakuichukua.
Mama Wa Makamu Avua Nguo Baada Ya Kusingiziwa Kuiba Simu Mama Wa Makamu Avua Nguo Baada Ya Kusingiziwa Kuiba Simu Reviewed by habari motto on 9:25 AM Rating: 5
Powered by Blogger.