
Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili makaburini

Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga

Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange

Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini
Angalia picha zaid za Dua baada ya maziko hapa
RAIS KIKWETE AONGOZA MAZIKO YA MEJA JENERALI MUHIDDIN MFAUME KIMARIO
Reviewed by habari motto
on
11:49 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
11:49 AM
Rating:
