Baada ya kutokuwa na maelewano mazuri kati ya nuhu mziwanda na mpeni wake shilole hivi sasa tetesi zimeibuka upya kwamba wawili hao hawako paamoja tena , hii imefatia kuzagaa kwa picha ambayo shilole amepiga akiwa na njemba mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja,

Shilole Akutwa Na Dogodogo Nyingine
Reviewed by habari motto
on
8:29 AM
Rating: