Wabunge Watembeleaa Kiwanda Cha Konyagi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa wa pili  kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya
wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Ofisa wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea kiwanda hicho



Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya uchumi viwanda na biashara Bw, Luhaga Mpina na Dr. Terezya Huvisa walipotembelea kiwanda hicho kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa

Mjumbe wa kamati ya Uchumi viwanda na biashara Bi. Naomi Kaihula kushoto akiteta jambo naMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa pamoja na Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara ya viwanda na biashara Bw. Deo Ndunguru walipotembelea kiwanda cha Konyagi kujionea mambo mbalimbali


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kulia akielekeza shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo
Wabunge Watembeleaa Kiwanda Cha Konyagi Wabunge Watembeleaa Kiwanda Cha Konyagi Reviewed by habari motto on 9:22 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.