Ajali Nyingine Mbaya Yatokea

Basi la happy nation limepata ajali muda huu baada ya dereva wa basi ilo kufanya juhudi za kutaka kumkwepa mwendesha baiskeli kushindikana na kupelekea kutokea kwa ajali hiyo. Ajali hii imetokea eneo la  Igurusi na pia basi hilo lilitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam.
Habari kamili inawaijia hivi punde.

Na Joseph Mwaisango
Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Reviewed by habari motto on 8:24 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.