Ajali Yatokea, Yahusisha Basi La Abiria Na Treni

basi la Super Aljabir baada ya ajali.
Basi hilo likiwa limepinduka.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir ambalo limegongwa na Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro..Majeruhi wanapatiwa matibabu katika hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali iyo iyo......
Ajali Yatokea, Yahusisha Basi La Abiria Na Treni Ajali Yatokea, Yahusisha Basi La Abiria Na Treni Reviewed by habari motto on 8:18 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.