Director Nisher Amwaga Sumu.. Shuhudia Jinsi Alivyomchana

.
Kupitia mtandao wa Instagram Nisher amepost picha yenye maneno yanayoonekana kuwa ni dongo linalomwendea mtu ambaye hakumtaja ,kwenye picha hiyo Nisher ameandika #Mi hua nacheka sana, Unakuta Mtu anaandika Comment Waraka Mkubwa unaotosha Kua Kitabu cha kuuza, ndani ka-kukosoaaaa weeeeee…. MIMI nasema hiviiii… Kama mtanzania Mzalendo, Mimi najifunza Kwa kuona kazi KALI, sio NYARAKA… so kama una-Kazi umeipiga KALI KULIKO YANGU, TENA NIRIDHIKE KABISAAAA KUA UMEFANYA KULIKO MIMI, NIONYESHE NIJIFUNZE!!!!!!! Ukiniandikia Magazeti unaniongezea Maisha tu manake NTACHEKA HATARI!!!!!!! #NimesemaTU #JUSTSAYING …… ukiona nimekukwaza kwa hii status Ujue nilikua naongea na wewe!!’aliandika Nisher.
Swali,Je dogo hilo linawaendea wakina nani?
Director Nisher Amwaga Sumu.. Shuhudia Jinsi Alivyomchana Director Nisher Amwaga Sumu.. Shuhudia Jinsi Alivyomchana Reviewed by habari motto on 11:07 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.