Picha: Hivi Ndivyo Weusi Walivyooacha Historia Arusha, Joh Makini Afunguka

Kwa zaidi ya miaka miwili wapenzi wa muziki jijini Arusha hawajashuhudia shangwe za Fiesta, lakini Jumamosi, November 1, Weusi walifanikiwa kuwapa show yenye ukubwa unaokaribiana na tamasha hilo la kila mwaka.
10748463_586087551513725_1423829173_n
Wakiandaa wao wenyewe, Weusi walifanikisha kuvutia nyomi la kutosha kwenye uwanja wa Triple A jijini Arusha. “Mungu ametuonesha kwamba tunaweza kufanya makubwa zaidi ya vile tunavyofikiria,” Joh Makini ameiambia Bongo5.
923841_308069529388676_964088410_n
Nyomiii
Joh amesema maandalizi makubwa wamefanya wao wenyewe japo wasambazaji wa kilevi cha K Vant waliingia kama wadhamini katika hatua za mwisho mwisho. Tamasha hilo Jumamosi hii linahamia mjini Moshi, La Liga, Nov. 15 watatumbuiza Mbeya, City Pub, Nov 22 ni Mwanza, Jembe ni Jembe halafu wanatarajia kumalizia Dar Nov 29.
Hizi ni baadhi ya picha za Arusha.

10735266_683597668415197_1902996968_n

10707223_706515382749952_535319818_n
10731804_882708715095349_149032450_n
Picha: Hivi Ndivyo Weusi Walivyooacha Historia Arusha, Joh Makini Afunguka Picha: Hivi Ndivyo Weusi Walivyooacha Historia Arusha, Joh Makini Afunguka Reviewed by habari motto on 8:13 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.