PICHA:Diamond Na Waje Wakishoot Video Yao Jijini Cape Town

Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.



Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.



Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia



Diamond na Waje wakiwa location








Picha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby music video shoot. ❤️I bet y’all the song is one to listen to,the beat is fresh and as always Waje gave the finishing touches with her super sweet voice

Picha: African Muzig Mag, Instagram
PICHA:Diamond Na Waje Wakishoot Video Yao Jijini Cape Town PICHA:Diamond Na Waje Wakishoot Video Yao Jijini Cape Town Reviewed by habari motto on 4:30 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.