Na Mwandishi Wetu
LORI lililokuwa limebeba Mafuta ya Petroli, limepinduka leo jioni na kumwaga mafuta katika makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa jijini Dar es Salaam. Hakuna aliyedhurika katika ajali hiyo.
Ajali Mbaya: LoriLa Mafuta Lapinduka
Reviewed by habari motto
on
7:52 AM
Rating: