Vanessa Mdee ana boyfriend Mkenya? Sauti Sol wamuita shemeji!
Kwa muda mrefu Vanessa Mdee amekuwa akikanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Jux, hali ambayo imefanya hadi sasa kutojulikana mwanaume aliye sehemu ya maisha ya hitmaker huyo wa ‘Come Over’.
vanessa Hata hivyo huenda Sauti Sol wakawa wametupa hint ya nani ayeisikia sauti tamu ya Vee Money kwa ukaribu zaidi maskioni mwake.
Hata hivyo huenda Sauti Sol wakawa wametupa hint ya nani ayeisikia sauti tamu ya Vee Money kwa ukaribu zaidi maskioni mwake.
Baada Ya Saut Sol Kumuita Vanessa Mdee Shemeji,Afunguka Kiivi
Reviewed by habari motto
on
11:11 PM
Rating: