Haya Ndiyo Mazishi Ya Watu 15 Waliozikwa Kaburi moja Kigoma




Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema. 
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao. 
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya watu hao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga
akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma. 

Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.
Haya Ndiyo Mazishi Ya Watu 15 Waliozikwa Kaburi moja Kigoma Haya Ndiyo Mazishi Ya Watu 15 Waliozikwa Kaburi moja Kigoma Reviewed by habari motto on 11:20 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.