Lil Wyne Amzawadia Mwanae Magari Mawili

Mtandao wetu umeripoti kwamba mtoto huyu wa miaka 16 wa hiphop staa wa kitambo duniani, Lil Wyne….. Reginae Carter anaweza kuweka stika kwenye gari lake aina ya BMW alilozawadia ikisoma >>> ‘gari langu jingine ni Ferrari
Sherehe ya kutimiza kwake miaka 16 ilifanyika Atlanta Marekani ikiambatana na tamasha dogo ambalo Nicki Minaj aliimba “Moment 4 Life” na “Flawless (Remix) kwenye stage na kushuhudiwa na baadhi ya mastaa akiwemo T.I, Tiny, Kandi Burruss, Fantasia na Jacob Latimore.
wyne 2
Birthday girl mwenyewe ambae ni msanii chini ya lebo ya Young Money alichukua time yake kwenye stage na kuimba single yake ya ‘mind going’
wyne 3
wyne 4
wyne 5
wyne 6
wyne 7
Wyne 8
Wyne 9
Lil Wyne Amzawadia Mwanae Magari Mawili Lil Wyne Amzawadia Mwanae Magari Mawili Reviewed by habari motto on 8:16 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.