Mabomu Ya Machozi Yatumika Kutawanya Machinga Dar

Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni hii limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu.
Mabomu Ya Machozi Yatumika Kutawanya Machinga Dar Mabomu Ya Machozi Yatumika Kutawanya Machinga Dar Reviewed by habari motto on 8:22 AM Rating: 5
Powered by Blogger.