Wiki hii ya Christmas Pale Ubungo stand kuu ya Mabasi ya kwenda Mikoani Hapatoshi, Wasafiri ni wengi kweli Hasa wa Kwenda Mkoa wa Moshi kama ilivyokuwa Kawaida ya Wachaga kipindi hiki cha sikukuu hukitumia kwenda kusalimia Ndugu na Jamaa Huko kwao ....Mbuta Nanga..Ruwa Mangi
Moshi Ndio Habari ya Mjini Week Hii..Jionee Umati wa Wasafiri Stand Kuu
Reviewed by habari motto
on
11:28 AM
Rating: