Ajali Mbaya Yatoke Makutano Shule Ya Msingi Osterbay


Wasamaria wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz iliyokuwa ikitokea upande wa Coco Beach jijini Dar mchana wa leo na
kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni Mama mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz ilikuwa ikitokea upande wa bahari na kuvuka ghafla barabara hiyo

Mashuhuda wakiwa wameizunguka gari hiyo mara baada ya kufanikiwa kumtoa Mama aliekuwa akiendesha Gari hilo.

Hivi ndivyo ilivyo hii Toyota Vitz baada ya kuhongana na Isuzu Trooper iliyopinduka.

Huyu ndio Mama aliekuwa akiendesha Gari iliyopinduka.Picha na Mdau Pius Micky.

Na Michuzi
Ajali Mbaya Yatoke Makutano Shule Ya Msingi Osterbay Ajali Mbaya Yatoke Makutano Shule Ya Msingi Osterbay Reviewed by habari motto on 8:58 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.