mwenyekiti wa serikali ya mtaa Juma Mbena akipata kipigo kutoka kwa wanachama wanaodaiwa ni ukawa baada ya mgombea wao kwa madai kutoapishwa na badala yake kuapishwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa ukwamani ccm ndipo vurugu hizo hizo zilivyo anza picha inamuonyesha mwenyekiti huyo akila kisago bila huruma wakati wa sherehe ya kuwapisha wajumbe na wenyeviti walioshinda katika mitaa yao
jeshi la polisi wakimuokoa mwenyekiti huyo kula kisago zaid |
Moahamed Jeta wa Kawe akiomba msaada kwa polisi baada ya kupata mkongoto akiwa katika mtaro ambaye mwenzake alijificha kwenye karavati na kuokoa maisha yake
MZUKA WA FUNGO BLOG |
Hivi Ndivyo Mabomu Yalivyorindima Jijini Dar Es Salaam Kutawanya Waandamanaji
Reviewed by habari motto
on
1:55 AM
Rating: